Booking ya Tsh 20,000

Weka booking ili kuhifadhi kiwanja chako wakati unakamilisha taratibu za umiliki.

Msaada wa Kitaalamu

Timu yetu itakuelekeza kuhusu viwanja, ukubwa, bei na hatua zinazofuata.

Taratibu za Umiliki

Baada ya malipo ya awali, taratibu za mauzo na nyaraka hukamilishwa kwa utaratibu rasmi.

WEKA BOOKING SASA

Fomu ya Booking ya Kiwanja

Jaza taarifa sahihi ili tuweze kukupigia simu au kukutumia WhatsApp.

TAARIFA MUHIMU

Kabla ya Kuweka Booking

  • Booking ya kiwanja ni Tsh 20,000.
  • Wasiliana nasi WhatsApp kupitia 0790 398 189.
  • Panga ziara ya kutembelea eneo la mradi kabla ya kufanya maamuzi.
  • Kila malipo yanapaswa kuwa na risiti rasmi ya kampuni.
  • Baada ya kuchagua kiwanja, malipo ya awali ni asilimia 30 ya bei ya kiwanja.
  • Kiasi kinachobaki kinaweza kulipwa kwa awamu 6 ndani ya miezi 6, kulingana na masharti ya mauzo.
HATUA ZA BOOKING

Jinsi ya Kuweka Booking

Mchakato rahisi wa kuanza safari yako ya kumiliki kiwanja.

01

Chagua Kiwanja

Chagua mradi na aina ya kiwanja kinachokufaa.

02

Weka Booking

Jaza fomu na tuma taarifa zako kwa timu yetu.

03

Lipa Asilimia 30

Kamilisha malipo ya awali baada ya kuthibitisha kiwanja.

04

Saini Mkataba

Kamilisha nyaraka na hatua rasmi za umiliki.